Stadi za Kiswahili- Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7
$64.32
$79.76
Description Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 7 Maswali dadisi yametumiwa kumfikirishia mwanafunzi Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi ya wanafunzi Kimejumuisha mada na mada ndogo zote Yaliyomo yamepangw ang kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 7 Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu Kimeshughulikia matokeo maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 7 Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi Kimeshughulikia masuala mtambuko yote Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Kiumilisi Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Haya na mengine mengi yanadhamiria kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 7 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.
Next Page