Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya 5
$65.61
$122.03
Description Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: ● Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 5.● Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo.● Kimejumuisha shughuli za mwanfunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawili/wawili na za makundi ya wanafunzi.● Kimeshughulikia masuala makuu yote kwa mujibu wa muhtasari wa Kiswahili cha Gredi ya 5.● Kimejumuisha mada kuu na mada ndogo zote.● Yaliyomo yanapangwa kulingana na muundo wa Kiswahili cha Gredi ya 5.● Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kuvutia na kiwango cha juu.● Kimeshughulikia matokeo makuu yanayotarajiwa katika Gredi ya 5.● Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Umilisi.● Kimeshughulikia masuala mtambuko yote.● Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi.● Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za kusikiliza na kuzungumza, kusoma na kuandika.● Michoro na picha za rangi zinachangia yaliyomo kueleweka kwa urahisi.● Maandishi makubwa na ya rangi mbalimbalim gasonseka kwa urahisi. Haya na mengine mengi yamegandhamiria kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 5 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.
Next Page