Hatua Za Kwanza – Mazoezi ya Lugha -Chekechea 1 (PP1)
$67.35
$87.56
Description Hatua za Kwanza, Mazoezi ya Lugha, Kiwango cha Kwanza cha Chekechea ni kitabu cha kiada kilichoandikwa kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa zifuatazo: kinafunza shughuli za lugha kupitia kwa picha maridadi kinatumia lugha sahili na mwafaka kwa mwanafunzi kina shughuli za ujifunzaji za aina mbalimbali kinamwezesha mwanafunzi kujifunza lugha kutokana na mazingira yake kinashughulikia matokeo yote maalumu katika mtaala kwa kuzingatia umilisi wa kimsingi, madai na masharti ya mtaala mkuu kinakuza stadi za kusikiliza na kuzungumza, kusoma na kuandika Hayo na mengine mengi yanakusudiwa kumwezesha mwanafunzi wa Kiwango cha Kwanza cha Chekechea kuwa na stadi za kimsingi za lugha.
Next Page